Ulimwengu (feat. Vini Ngugi & Eric Wainaina)

Corciolli

Letra da Música


Ouvir música com robot
Tunapojituma
Kuyaharibu makaazi yetu
Tunajihatarisha
Bila shaka twajiangamizaMuda wetu wayoyoma
Kadri unavyosonga
Tunajiteketeza
Misitu ikiisha utavutaje mvuaJukumu letu kuelewa
Kuwa jua, mwezi, mvua na ardhi
Wanyama pori na adinasi
Mito, milima, misitu na nyasi
Vidudu na ndege wa angani
Vimefumwa kwa pamojaUlimwengu ukizunguka
Kile tunachopanda
Bila shaka ndicho tutavuna
Kama jua likitua
Yale tunayofanya
Bila shaka yatatufuataBinadamu ni tishio kubwa kwa dunia
Na vitendo anavyo fanya
Hufanya viumbe kuumiaSasa chukua hatua
Wakati ndio sasa
Kuyahifadhi mazingira
Kupata amani
Twahitaji uwiano
Kuilinda dunia
Kwa vizazi vijavyoUlimwengu ukizunguka
Kile tunachopanda
Bila shaka ndicho tutavuna
Kama jua likitua
Yale tunayofanya
Bila shaka yatatufuata

Se você conhece o(s) compositor(es) dessa música colabore com nossa comunidade eviando as informações agora mesmo!

Mais ouvidas de Corciolli

Ver todas as músicas de Corciolli

Envie mais letras de Corciolli

 

Assista o vídeo de Ulimwengu (feat. Vini Ngugi & Eric Wainaina)

 

Ouça músicas de Corciolli

Imagem de Corciolli

Baixar Músicas Corciolli (iTunes)


    Siga nosso Instagram!

    4.4 de 5 estrelas

    Música - Ulimwengu (feat. Vini Ngugi & Eric Wainaina)

    Equipe Baixar.mus.br - 16/07/2022

    Ulimwengu (feat. Vini Ngugi & Eric Wainaina) Música de Corciolli.

    Se você encontrou alguma informação errada, por favor fale agora mesmo com a gente!